Msaada kwa lap top yangu lenovo thinkpad

Msaada kwa lap top yangu lenovo thinkpad

Nyoka kibisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
945
Reaction score
2,591
Lap top yangu aina ya lenovo thinkpad ilizima ghafla na sasa hivi nikiiwasha batan ya kuwashia inawaka kama sekunde moja na wakati wa kuwasha kama ina vibrate afu inazima tatizo ni nini au ndo kifo chakekimetimia msaada wa mawazo
 
Back
Top Bottom