dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,308
- 5,849
Kuna watu waajabu Dunia hii acha 2!Chuo kikuu cha SAUT tawi la bukoba kipo wapi mkuu!!? Na chuo cha ualim Katoke je? vp chuo cha afya Rubya!!!? hna ndolage school of nursing unaiweka wapi?? Mkuu ucpende kukomenti vitu ucvyovjua utakuja uumbuke. ni bora ukaa kimya endapo hujui kitu