Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,008
- 31,816
Mengne tunajitakia tu hivi we mpaka unatafuta mke unakuwa na matatizo gani ulio soma nao unao ishi nao mtaani kwenu kazini kwako kanisani/msikitini hujaona mpaka utafute kiasi cha watu ndo wakuunganishie