Msaada kwa huyu binti, anaumia

We jibebee mzigo huo hauna mwenyewe sahivi.., mwambie uyo demu anachotarajia hakipo tena ni kama kukamua mafuta kwenye muwa!!!
 
mwenyezimungu aliumba raha na shida ambazo kwa namna sisi ametuamini kuwa tutazikabilia shida hizo ijapoluwa muda mwengine zinauma sana.. na pia baadh ya shida sio tu ikukute tukio laah isipokua hata kukutana na mtu amabae kwa asilimia kubwa atauteka moyo wako kihisia na badala yake akawa anatumia nafas hiyo kukuumiza bas jua waz kuwa hiyo ni shida mojawapo kati ya zile umeandikiwa na mola wako kuzipitia. zichukulie kama changamoto tu. mapenz ni hisia tena hisia huwa tam pale moyo unapopata nafsi inayoelewa ni kwa namna gam ama muda gani unahitaj kitu gan. yaan moyo uliokushiba so..

ushaur wang ni ajaribu kuikubali tu hiyo hali kuna jambo au mambo yanawezekaba kati ya haya..
1. jamaa ajr kubadilika na akubali kuwa nae
2. jamaa akaze na aje afanye tu maidha bila yeye.

kuna maisha kabla na baada ya kukutana na mtu fulani hivyo usikae ukawekeza hisia zako ama akili zako nyingi kwake ila kaa tayar kwa lolote na asiwe na haraka ya kufanya lolote juu ya mahusiano maana aamini kitu kimoja. kwamba yeye ni msichana unique sana sana na ana uwezo wa kupata ampendae vile anataka so keep wait...

thanks
for more info. visit on kass.naj36@gmail.com
 
Yeye kipindi chote hicho hakua na mpenzi? Na je afikirii labda huyo mwanaume ana mpenzi?, mwambie ni bora kuwa ignored kuliko kuchanganywa atapata stress afeli bure,,si ajabu huyo mwanaume anamuonea huruma kwa kua tayari yupo ulimwengu mwingine
 
Samahan kwa kutoka nje ya mada wakuu,

nipo hapa arusha stend, nisehem gan naweza pata CD ya CCM MBELE KWA MBELEE, T-shirt iliyoandkwa HAPA KAZI TU na kofia yenye picha ya YULE BWANA.
 
Hamna kitu kinatuumiza wanaume kama kumuona X wako yupo smart haswa kichwan,active ananipenda na haoneshi dalili za kutupenda....ampige chin huyo Man afanye ya msingi awe lyk it doesn't matter huyo man atarudi
 
Samahan kwa kutoka nje ya mada wakuu,

nipo hapa arusha stend, nisehem gan naweza pata CD ya CCM MBELE KWA MBELEE, T-shirt iliyoandkwa HAPA KAZI TU na kofia yenye picha ya YULE BWANA.
fungua browser halaf andika google kisha orodhesha ulivyovihitaj.. soon utavipata on time..
 
Hivi kidato cha tatu tulikuwa tunaruhusiwa kufanya mapenzi? Dah kumbe mama yangu alikuwa mkali zaidi ya Simba. Siku hizi kawa mpole wadogo zangu hawakuonja hili joto.

Maana nakumbuka alinambia nikipewa barua nimpe. Na nisipompa atajua na atanivunja miguu . kwahiyo sikupokeaga barua yeyote. Dah sio kwa mikwala ile.
Hiyo miguu yako tu....
 
Mwambie huyo rafiki yako akubaliane na hali huyo kijana hana mpango nae, anachotakiwa kufanya nikumuomba Mungu ampatie Mume mwema.
 
mkuu mwambie asimkazie sana asubiri amalize chuo ndo amtafute, kwa totoz za chuo wote uliwahi kudate nao o level ni ligi za mchangani wakati chuo ni UEFA kabisa
shule kwanza, haya mambo vyuoni yapo sana. na madada tukipenda hupenda mpaka mwisho lkn maji yashamwagika! chuo msingi ni kutengeneza GPA. ukiendekeza hilo gpa itaporomoka. achana naye kimawazo, hutakufa naye, duniani ulikuja peke yako. Mungu ata mpa huyo binti wake wa ukweli baada ya masomo!!!
 
Back
Top Bottom