Sijui kama unapenda / unaweza kutumia internet kujifunza Kingereza, lakini kama ni hivyo, websites ifuatayo ni bora na labda zinaweza kukusaidia pia:
---------------------
Kusoma na kusikiliza Kingereza (at the same time) BBC Worldservice Learning English ni bora.
Learning English - General & Business English (Bonyeza)
Chini ya General & Business English menu, "6 Minute English" na "English at Work" hasa inafaa.
Learning English - Grammar, Vocabulary & Pronunciation (Bonyeza)
Chini ya "Grammar, Vocabulary & Pronunciation" menu, "The English we speak" hasa inafaa.
Website ya BBC infaa sana kwa sababu yapo mazungumzo (conversations) mengi ya Kiingereza
ya kila siku na zaidi ya hayo unaweza
kusoma na kusikiliza at the same time. Pia, kulia na juu ya webpage nyingi unaweza kufungua audio file na text file, au kudownload yote kwenye computer yako (ukiwa na computer!)! Lakini kama ukitaka kusoma na kusikiliza at the same time kwenye internet, lazima to right-click on the audio au text file and then to choose the option "open link in new window". Ndipo utafungua files mbili separately ili kusoma na sikiliza pamoja.
---------------------
Kwa English grammar hii inafaa kuliko nyingine kadiri nilivyoona:
ENGLISH PAGE - Online English Grammar Book Hapa ni index. (Bonyeza)
Hii ni Homepage:
Advanced English lessons (Bonyeza)
-----------------------------------------------
Mimi ni mwalimu wa Kiingereza hapo Uingereza katika shule ya kimataifa. Mimi ninajitahidi kujifunza Kiswahili. Naweza kusema kujifunza lugha nyingine ni kazi kubwa. Unahitaji motivation na kujitoa kwa muda mrefu kama ukitaka kuboresha level yako. Nashauri usome Kiingereza ya kwa kawaida sawasawa na level yako na endelea hatua kwa hatua. Usisome masomo au nakala ngumu kwako – itakuchanganyika na hutajifunza vizuri! Mimi nilipata faida kubwa sana katika kujifunza Kiswahili cha kila siku niliponunua na kusoma vitabu vya shule, "Tujifunze Lugha Yetu"! Kwa hiyo nashauri BBC hapo juu kama ni sawawa na level (kipimo?) yako. Wengine tayari walikushauri vizuri ila nilitaka kuzidisha kidogo!