Dan Elly Eva
Member
- Jul 31, 2017
- 6
- 2
Ikiwa Kifo ni mpango wa Mungu kwanini watu huwa tunamuomba atuepushe nacho? Hata wale wagonjwa tunawaombea Mungu awaponye je, hatuendi kinyume na mapenzi yake?
Kama ndivyo basi kifo sio mpango wa MUNGU.Ikiwa Kifo ni mpango wa Mungu kwanini watu huwa tunamuomba atuepushe nacho? Hata wale wagonjwa tunawaombea Mungu awaponye je, hatuendi kinyume na mapenzi yake?
Katika watu nao wakubali jf no moja ni ww kaka hata katika mada ambazo ziwe ndogo kiasi gani husiti kutoa mchango wako Tena bila kumkwaza mtu uko vr kakaMaisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80!
tunaomba tuwe na mwisho mwema siyo kuomba sala ya toba tukiwa MZENA kwakuwa tuliua watu tukiwa na mamlaka mfno nen sanane alimuua kwa mikono yakeIkiwa Kifo ni mpango wa Mungu kwanini watu huwa tunamuomba atuepushe nacho? Hata wale wagonjwa tunawaombea Mungu awaponye je, hatuendi kinyume na mapenzi yake?