Wandugu nilikuwa safari,nimerudi nyumbani kwangu usiku wa manane nimemkuta mama mkwe kalala na mke wangu chumbani kwangu,na nina nyumba kubwa tuu ya vyumba 4.niwaeleweje hawa watu na nifanyeje kwa hili?
Huyo mama mkwe wako na mkeo hawana nidhamu kabisa,ni afadhali mkeo angelala chumbani kwa mama yake wakati wewe haupo,
kama kuna uwezakano wa kutoishi na wakwe ni bora zaidi kwa sababu kutapunguza matatizo mengine na wewe kuwa huru zaidi
Wandugu nilikuwa safari,nimerudi nyumbani kwangu usiku wa manane nimemkuta mama mkwe kalala na mke wangu chumbani kwangu,na nina nyumba kubwa tuu ya vyumba 4.niwaeleweje hawa watu na nifanyeje kwa hili?
Kwani hapa tatizo liko wapi? Si mama kalala na mwanaye, wewe inakuudhi nini? Mimi nilidhani unalalamika kwamba umemkuta baba mkwe amelala na mkeo, kumbe mama mkwe!
Vp, Mkeo na mkwe wako huwa wanaamini ushirikina?
Is not normal hasa kama kuna vyumba vya kutosha wangeweza hata kwenda kulala chumbani huyo mama mkwe wako
take time talk to wife, alfu chungeza ili ujue tatizo ni nini?
Kaa na mkeo akwambie 7bu za kulala na mamake ktk kitanda chenu huenda akawa na za mcngi za kukueleza, Kama anaeleza non sense ucmind ila mwoneshe kuwa hujapenda hiyo tabia kuashiria icrudie kwa cku ningine.