Msaada kwa hili wana teknolojia

Msaada kwa hili wana teknolojia

chotarasukari

Senior Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
110
Reaction score
23
Habari za majukumu wakuu.
Nina Dell gx280
sifa zake:
HDD :80GB
RAM :2GB
PROCESOR :3.6GHz
OPERATING SYSTEM : WINDOWS XP ROYALE SP3 2010
JE Ninaweza weka WINDOWS 7 na ikakaa vizur bila kuwa nzito?.
MASAADA WAKUU
 
Ndio inawezekana, Machine inakidhi vigezo vya kutumia windows 7
 
vigezo vipi? na kwa hizo sifa itawezekana na isiwe nzito katika utendaji wa kazi?.
Windows 7 system
requirements If you want to run Windows 7 on your PC,
here's what it takes: 1 gigahertz (GHz) or faster 32-bit (x86) or 64-bit (x64) processor 1 gigabyte (GB) RAM (32-bit) or 2 GB RAM
(64-bit) 16 GB available hard disk space (32-bit) or
20 GB (64-bit) DirectX 9 graphics device with WDDM 1.0
or higher driver
 
we Fanya backup weka win 7 dn cheki ikizingua utarudisha xp but I'm so sure itakuwa poa coz nshawhi weka kwa pc zina spec za chini ya hapo
 
Windows 7 system
requirements If you want to run Windows 7 on your PC,
here's what it takes: 1 gigahertz (GHz) or faster 32-bit (x86) or 64-bit (x64) processor 1 gigabyte (GB) RAM (32-bit) or 2 GB RAM
(64-bit) 16 GB available hard disk space (32-bit) or
20 GB (64-bit) DirectX 9 graphics device with WDDM 1.0
or higher driver

Thanks mkuu nitaleta feedback
 
Back
Top Bottom