Msaada kwa hili wakuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwa hili wakuu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by fidelis zul zorander, Sep 25, 2012.

 1. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wataalam wa techs nina laptop yenye specs zifuatazo 1GB ram,intel atom cpu N455@1.66GHz 1.67GHz ipo slow sana kwenye vitu vingi mfano magames nk..mimi si mjuzi sana kwenye mambo ya techs nipeni mawazo nifanyaje kuipa speed...
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Inatumia window gani na application zake pia? Mfaano adobe cs4 inashauri pc yako iwe na minimum ya 2Gb Ram alafu kuna antivirus kama mcaffee virus scan enterprise inafanya machine ichelewe kuwaka hadi uzuie vitu fulani ktk services. Nakushauri kudownlod free version CCleaner upunguze unwanted files kwanza
   
 3. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Spec ndogo sana hizo lazima itakuwa slow, ni netbook hiyo? Hizo ni kwa ajili ya kusurf na kucheki youtube tu, usitegemee zaidi ya hapo.
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,751
  Likes Received: 7,016
  Trophy Points: 280
  kuipa speed huwezi ila unaweza kuipa ahueni kwa kufanya mambo kama haya

  1. funga app zote zinazo autostart acha antvirus tu.

  2. epuka magame makubwa vizuri yaonee magame madogo na cheza magame ya emulator za platform ndogo mfano nintendo ds

  3.upunguze tamaa ya kuopen program nyingi kwa mpigo. mfano kama unabrowse just browse then kuscan pc badae maana kufanya vitu vingi kwa mpigo na specific chache utaumia mwenyewe

  4. open task manager then fungua app nyingi then angalia katika processor na ram ipi inajaa kwanza? kama ram inajaa iongeze hata iwe 2gb
   
 6. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nashukuruni kwa mawazo wakuu..nitajaribu kuongeza ram nione itakuaje..
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkubwa nunua mashine mpya tu.
   
 8. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ngoja nijipange kwanza ndugu ningar..
   
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Cheza freecell na Solitaire tu mkubwa ukitaka GTA utaua mashine, kua mpole ka mimi mpaka jamaa walete
   
 10. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  hahahah dah! umelipania mbaya...ngoja na mimi niwasubiri walete
   
Loading...