Msaada kwa hili tatizo: Nimepata uvimbe baada ya kumeza vidonge vya kupevusha mayai

Rudi hosptal kwa huyo daktari. Asipokupa majibu ya kueleweka tafuta gyno mwingine
 
Kama ni hivyo basi kusingekuwa na wafamasia.
Rudia ulichokiandika. Unahisi ni sahihi kumwambia mtu kuwa asiruhusu Dr kumpangia dawa?

Kama wewe ni mtaalamu wa Afya bila shaka utakuwa ni nurse maana nyie tumekuwa na competition zisizo na msingi.

Unakuta unamwandikia mteja hivi kule unakuta kingine.
 
Habarini wanajamvi nimerudi tena...kwanza niwashkru walio nishauri kwenda hospital, nimeenda na nimefanyiwa utrasound nimektwa na uvimbe kwa ovar zote mbili..ila nimeandikiwa dawa ambazo ni hzo hapo chin je zitanisaidia.

IMG_20200720_194457_6.jpg
 
Pole Mungu atakusaidia weka imani kuwa sasa unapoona moja kwa moja na usitetereke.
 
Aliniambia nijaribu nisipo pona nirudi
Utapona mkuu usijali.

Ila siku nyingine unapoanza kuhisi maumivu ya aina yoyote ile ni vizuri ukamuone daktari.Usingoje uanze kupata maumivu makali zaidi ndipo uende.Kuna magonjwa hatari yanaanzaga kwa kuhisi maumivu kidogo hivyohivyo. Na mara nyingi hadi yadhihirishe dalili ina maana ugonjwa ushakomaa ndani.Kwa hiyo siku nyingine usichelewe.

Huo ugonjwa utapona.Zingatia tu maelezo ya daktari.
 
Utapona. Wasalimie huko Buzuruga, Mwananchi, Mecco, Nyakato, National mpaka Mahina.
 
Habarini wanajamvi nimerudi tena...kwanza niwashkru walio nishauri kwenda hospital, nimeenda na nimefanyiwa utrasound nimektwa na uvimbe kwa ovar zote mbili..ila nimeandikiwa dawa ambazo ni hzo hapo chin je zitanisaidiaView attachment 1511960View attachment 1511959

Unahitaji faraja sana, Mungu akutie nguvu na wepesi wa kupona, haki ya Mungu iwe mbele yako na utukufu wake ukufuate nyuma, jipe matumaini makubwa, Mungu akuponye haraka.

Nimejikuta kama nakuona hivi, maana juhudi ulizochukua hadi kuonyesha public ulichokiona hospitali inaashiria unahangaika kweli. Mungu ni mwema, upone kwa mkono wenye imani kuu. Amen
 
Unahitaji faraja sana, Mungu akutie nguvu na wepesi wa kupona, haki ya Mungu iwe mbele yako na utukufu wake ukufuate nyuma, jipe matumaini makubwa, Mungu akuponye haraka. Nimejikuta kama nakuona hivi, maana juhudi ulizochukua hadi kuonyesha public ulichokiona hospitali inaashiria unahangaika kweli. Mungu ni mwema, upone kwa mkono wenye imani kuu. Amen
Amina Amina mpendwa nazipokea baraka kwa damu ya yesu
 
Rudia ulichokiandika. Unahisi ni sahihi kumwambia mtu kuwa asiruhusu Dr kumpangia dawa?

Kama wewe ni mtaalamu wa Afya bila shaka utakuwa ni nurse maana nyie tumekuwa na competition zisizo na msingi.

Unakuta unamwandikia mteja hivi kule unakuta kingine
Sio kwamba ninahisi bali ndio ukweli wenyewe, daktari hapaswi kutoa maelekezo ya kutumia dawa haijalishi anajua ama hajui.

Sasa ona huyo mwenzako kamwambia dada wa watu ameze double badala ya kubadilishia dawa. Angekutana na mfamasia asingeweza fanya huo upuuzi.
 
Back
Top Bottom