K kangalo Member Joined Nov 27, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Nov 30, 2012 #1 Habarini za asubuhi wakuu natumia cmu ya nokia E7 kuna alama kama ya power saver inatokea kwenye upande wa battery lakini nikijaribu kuitoa haioneshi kama imetoka tatizo nn naombeni kujuzwa kama ina madhara.
Habarini za asubuhi wakuu natumia cmu ya nokia E7 kuna alama kama ya power saver inatokea kwenye upande wa battery lakini nikijaribu kuitoa haioneshi kama imetoka tatizo nn naombeni kujuzwa kama ina madhara.