Msaada kwa haya matokeo

Msaada kwa haya matokeo

DALT

Senior Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
168
Reaction score
77
Wakuu habari yenu,

Natanguliza shukrani kwenu Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka juzi na alipata division two ya 19 na masomo ya sayansi alpata Kama ifuatavyo phyz-C, chem-C,bios-C.

Sasa alikuwa anataka kusoma kozi za afya za nesi au pharmacy kwa ngazi ya diploma vyuo vy serikali.Sasa ombi langu kwenu ni kunisaidia vyuo vya serikali vinavyotoa kozi mojawapo Kati ya hizo ambavyo havina ushindani mkubwa ili aweze kupata.

Na Kama ni vigumu je kwa ngazi ya cheti anaweza kupata kweli kwa ushindani uliopo?

Kwenu wakuu nawasikiliza
 
Kuna nyuzi nyingi kuhusu hizo kozi humu hebu zisachi utapata jibu.
 
Kama una mtoto wako anapata shida ya usafiri na ww kama mzazi unataka asome shule za boarding au hostels zilipo mkoani Kilimanjaro
Wasiliana na mm
Fess range from 600k-700k per year

Contact
Call &WhatsApp
0764616353
 
Wakuu habari yenu,

Natanguliza shukrani kwenu Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka juzi na alipata division two ya 19 na masomo ya sayansi alpata Kama ifuatavyo phyz-C, chem-C,bios-C.

Sasa alikuwa anataka kusoma kozi za afya za nesi au pharmacy kwa ngazi ya diploma vyuo vy serikali.Sasa ombi langu kwenu ni kunisaidia vyuo vya serikali vinavyotoa kozi mojawapo Kati ya hizo ambavyo havina ushindani mkubwa ili aweze kupata.

Na Kama ni vigumu je kwa ngazi ya cheti anaweza kupata kweli kwa ushindani uliopo?

Kwenu wakuu nawasikiliza
Changamoto iliyopo kama sikosei ni kuwa kwa sasa kama mhitimu wa F4 amepata div.1 au 2 lazima apelekwe High School,kwa hiyo hawezi kupata nafasi katika vyuo vya Diploma hasa vya serikali.Labda aende vyuo vya Private ambavyo havina masharti kama hayo.
Qualifications alizo nazo anaweza kusoma Pharmacy,Radiology,Laboratory Science.Vyuo vya Serikali ni Muhas na UDOM.
 
Hapan haipo hivyo. Hata waliomaliza form four wananafasi kubwa tu ya kusoma diploma. Binafsi nimemaliza mwaka juzi form four. Nikaomba Mtwara college. Nikapata nafas na ninaendelea na masomo kama kawaida. Pia hata mwaka wa kwanza walipo kuja nao walikuwepo waliotok form four Direct. Perhaps kama hiyo system itaanza mwaka wa masomo 2022/ 2023.
 
Back
Top Bottom