Msaada kwa haraka sana

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Naomba ufafanuzi wa hivi vitu dry cell AA6
Dry cell size D 12 ndo vitu gani? Nimepewa nikanunue dukani kwa ajili ya practical fizikia
 
1598875113365.png
mfano wa dry cell AAA ndio huo hapo. Haya nilipe sasa, maana kama unasoma fizikia na dry cell hujui basi kuna siku utatengeneza bomu
 
Back
Top Bottom