boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
Ahsante mkuuKwanza Computer language (C++/python)
Mkuu hii ni tofauti na computer languagePython language ni muhimu sana pindi unapoingiza zile pl kwa ajili ya ku-bruteforce
Password kwa kutunia crackstation ambayo ni txt hapo utahitajika kuwa na ujuzi kwenye language ya Paython
So python ni language muhimu kwenye haya mambo ya udukuzi
Wote hao wakinapython ni computer languageMkuu hii ni tofauti na computer language
Mr wizard sawa nitafanyia kazi jambo hiliWote hao wakinapython ni computer language
Wakina C++
-C#
kina java, JavaScript na wengineo wengi tu
Ndiondio mkuuPython language ni muhimu sana pindi unapoingiza zile pl kwa ajili ya ku-bruteforce
Password kwa kutunia crackstation ambayo ni txt hapo utahitajika kuwa na ujuzi kwenye language ya Paython
So python ni language muhimu kwenye haya mambo ya udukuzi
Fanya yote ila programing language lazimaWakuu
Nataka nijifinze u hacker so nianze na vitu gani ili nielewe ku hack kwa urahisi or program gani lazima nizifahamu kuhusu ili niwe hacker
Dhununi la kujifunza ni kuongeza maarifa tu kichwani mwangu
Mr Tzhacker c naweza soma online tuFanya yote ila programing language lazima
kama utaelewa basi [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] ila kama utahitaji msaada utanicheki privateMr Tzhacker c naweza soma online tu
Sawa mkuukama utaelewa basi [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] ila kama utahitaji msaada utanicheki private
Ahsante mkuuKwanza badili mtazamo..(uwe+)
Tengeneza vtual lab yako kwa kutumia vmware / virtual box etc. Kisha install mifumo/os tofautikwaajili ya kifanyia mazoezi
Kuna distribution moja ya linux inaitwa... Kali linux hii ukiipata ina tools nying sana.. Ni wewe kuzimaster.
Kuna online communities nyingi zinazotoa training na peer shairing katika haya maswala.
All the best
Tatizo lipi mkuuNdugu zangu mbona mmeshindwa kunisaidia tatizo langu, kila nikimp mtu anakataa kunisaidia