Msaada: Kwa dalili hizi nikamuone Daktari gani na nikapime nini?

Ila dalili hizo ziko highly linked na suala la overmasturbation, sex addiction. Baada ya kuacha masturbation uliingia kwenye mahusiano? Na je dozi ya masturbation ilihamia kwenye sex? Kama ndiyo, basi huo ndio msingi wa tatizo lako, mwili wako haukuwahi kupata wasaa wa kupona/kujitibu wenyewe
Nimekupm mkuu naona una kitabu changu
 
Ila dalili hizo ziko highly linked na suala la overmasturbation and sex addiction. Baada ya kuacha masturbation uliingia kwenye mahusiano? Na je dozi ya masturbation ilihamia kwenye sex? Kama ndiyo, basi huo ndio msingi wa tatizo lako, mwili wako haukuwahi kupata wasaa wa kupona/kujitibu wenyewe
Mkuu tumwagie nawengine hiyo elimu tunafaike.
 
Ila dalili hizo ziko highly linked na suala la overmasturbation and sex addiction. Baada ya kuacha masturbation uliingia kwenye mahusiano? Na je dozi ya masturbation ilihamia kwenye sex? Kama ndiyo, basi huo ndio msingi wa tatizo lako, mwili wako haukuwahi kupata wasaa wa kupona/kujitibu wenyewe
Mkuu Thesis hili somo litolee ufafanuzi, litawafaa sana wadogo zetu
 
Habari Wakuu, Natanguliza Shukrani
Mimi Ni Me Umri Miaka 33
Ni Miaka 6 Naishi Na Hili Tatizo Ila Kwa Sasa Mambo Yamenizidia

*Mwili Wangu Una Maumivu Makali Ya Ndani Kwa Ndani Hasa,Mabega, shingo,nyonga na mgongo na hata kichwa Kuwa Kizito (Sio Maumivu Ya kuminya Bali ni ya ndani mfano Ukinishika shingo Sihisi maumivu, Ila Nikiipa Movement Napata Maumivu)

*Viungo Kukaza Na Kufa Ganzi Hasa Mapaja, Mabega Na Shingo

*Uchovu Na Usingizi wa Mara kwa mara

*Kukosa Umakini Na Kujiamini Na Uwezo Mdogo Wa kumbukumbu

Napata Nafuu Kidogo nikifanya Mazoezi (yoga) Asubuhi (lisaa limoja) , hii Inanifanya Niwe Mtumwa wa Mazoezi, Lasivyo Hali Inakua Mbaya Zaidi.
Wakati Wa Mazoezi Napitia Maumivu Makali Ila Inanibidi Nifanye Ili Kuleta Unafuu

NB:kuna Kipindi Niliwahi Tumia Vidonge vya Neorotone Nilipata Nafuu ya Muda Mfupi Lakini Hali Ikaendelea

Sijawahi Anguka Wala Kupata Ajali

Nawaza Kwenda Muhimbili Ila Sijui Nikamuone Specialist Gani Au Nikapime Nini!!?

Samahanini Kwa Maelezo Marefu
Mkuu pole sana kwa hayo maradhi yako yanayo kusumbuwa ninakushauri ukapime hospitali Vitu 2 kapime damu Full Blood Picture na Mkojo ndipo itakapo julikana unayo maradhi gani mwilini mwako yanayo kusumbuwa. Damu na Mkojo ukipima na Maradhi yako haya kuonekana kwenye hivyo vipimo, ujuwe una maradhi ya elimu ya giza aka uchawi utanitafuta kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yakoı uguwa pole.
 
Mkuu pole sana kwa hayo maradhi yako yanayo kusumbuwa ninakushauri ukapime hospitali Vitu 2 kapime damu Full blood picture na mkojo ndipo itakapo julikana unayo maradhi gani mwilini mwako yanayo kusumbuwa. Damu na mkojo ukipima na Maradhi yako haya kuonekana kwenye hivyo vipimo, ujuwe una maradhi ya elimu ya giza aka uchawi utanitafuta kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yakoı uguwa pole.
Asante ndugu sasa niwaambie wacheki nini
Kisukari nimepima tayari
 
Duuhh pole , kwahiyo Mkuu hiyo hali ilianzaje anzaje?
Hujawah pata Ajali ilohusisha sehem yoyote ya uti wa mgongo?
Uvutaji wa sigara ?
Kazi zakubeba mizigo ?Au zakusimama muda mrefu ?
Au hata kwenye familia yenu mtu kua na tatizo kama lako ?.

Ukitembea unahisi hauna balansi?

Vipi hali yako ya haja kubwa na ndogo ??

Ni PM !!.
Mkuu mimi nina shida ya balance tatizo laweza kuwa nini?
 
Asante ndugu sasa niwaambie wacheki nini
Kisukari nimepima tayari
Waambie wacheki Vitu vyote muhimu kwa mfano wakucheki je unao upungufu wa Vitamin mwilini mwako? wakucheki HIV wakucheki Hepatitis B Virus, wakucheki je ini lako linafanya kazi vizuri?wakucheki katika njia ya mkojo figo lako lipo salama? na mambo mengine wanayajuwa Ma-Daktari lakini hivyo nilivyo kutajiandio muhimu kuangalia katika damu na mkojo wako.
 
Ila dalili hizo ziko highly linked na suala la overmasturbation and sex addiction. Baada ya kuacha masturbation uliingia kwenye mahusiano? Na je dozi ya masturbation ilihamia kwenye sex? Kama ndiyo, basi huo ndio msingi wa tatizo lako, mwili wako haukuwahi kupata wasaa wa kupona/kujitibu wenyewe
Hakuna mtu hajawaho kupiga punyeto
 
Waambie wacheki Vitu vyote muhimu kwa mfano wakucheki je unao upungufu wa Vitamin mwilini mwako? wakucheki HIV wakucheki Hepatitis B Virus, wakucheki je ini lako linafanya kazi vizuri?wakucheki katika njia ya mkojo figo lako lipo salama? na mambo mengine wanayajuwa Ma-Daktari lakini hivyo nilivyo kutajiandio muhimu kuangalia katika damu na mkojo wako.
Hapa nakazia kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom