DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
NINA BLOG YANGU ILA NINAHITAJI KUPATA TEFMPLATE AMBAYO ITAKUA SIMPLE HUSUSANI KATIKA UFUNGUKAJI WAKE NIKIZINGATIA WATU WENGI WANATUMIA SIMU..HIVYO MARA NYINGI NINAYOTUMIA IMEKUA NZITO SANA
natumia blog kakaMkuu unatumia platform gani? i.e Blogger ama WordPress? Nikushauri tuu tumia Premium Templates ambazo utalizimika kununua na chonde chonde epuka kutumia Free templates maana zitakuja kukusumbua katika maswala ya Search Engine Optimization(SEO), Maswala ya utayari wa kupokea Ads. Bofya >>Hapa<< kuchagua template unayotaka.