Msaada kwa anayekijua chuo cha NIT

Msaada kwa anayekijua chuo cha NIT

Aquarius

Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
31
Reaction score
23
Samahani wakuu kwa anayekijua vizuri chuo cha NIT mazingira ya chuo yapo vipi kwa kusoma, na changamoto atakazo kumbana nazo huyu dogo ni kama zipi?

Maana ameapply hapo anataka kusoma transport and logistic management nyingine ni procurement and logistic management. Ninapenda kujua ili nijipange atakabiliana vipi na hivyo vitu.
 
Huyo dogo ni Ke au me , kama Ke ategemee changamoto za kuombwa papuchi sana na kama me msihi sana kwani kutoka pale NIT kwenda uwanja wa fisi ni karibu sana na wale machangu wa uwanja wa fisi wanawasigezea huduma wanafunzi
 
Samahani wakuu kwa anayekijua vizuri chuo cha NIT mazingira ya chuo yapo vipi kwa kusoma, na changamoto atakazo kumbana nazo huyu dogo ni kama zipi?

Maana ameapply hapo anataka kusoma transport and logistic management nyingine ni procurement and logistic management. Ninapenda kujua ili nijipange atakabiliana vipi na hivyo vitu.
mm mwenyew nimeomba hapo NIT ya kwanza trasport and logstcs na ya pili ni procurement ndo ,tujuze vizur wadau
 
Mazingira mazuri. Aende tu kusoma,lakini ajue kuwa kuna kipibdi cha kuachiana venue za kusoma. Itabidi yeye awepo likizo kwa kipibdi fulani huku wengine wakiwa chuo
 
Hakuna chuo kisicho na changamoto, japo zinatofautiana kidogo. Mwache akasome maana anachohitaji kipo Nit, mengine ni changamoto za kawaida anatakiwa awe mvumilivu ili afikie malengo yake. Hata hapo NIT Wapo wanafunzi Km yy na wana mahitaji Km yy asiogope hata kama chuo kingekuwa Manyoni.
 
ME HIKI CHUO NAKIFAHAMU VIZURI APAMBANE TU
 
Funguka mkuu kwa faida ya wengi kama sio wote hata kwa uchache
KINA WALIMU WAZURI HASA WA BUSINESS, ACCOUNTS NA MARKET NA KWA FACULT BBA WAPO VIZURI SANA

CHANGAMOTO LIBRARY NI NDOGO NA HATA MADARASA PIA JAPO IYO KERO KWA SASA INAELEKEA KUTATULIWA KUHUSU MICHEZO HAKUNA UWANJA WA BASKET
 
Vipi kwa kozi nyngne kama transport and logistics vipi walimu maktaba mazingira na mengine yanaruhusu
 
Vipi kwa kozi nyngne kama transport and logistics vipi walimu maktaba mazingira na mengine yanaruhusu
WAPO VIZURI SANA UKIANGALIA IYO NDO CORE COURSE YA CHUO KABLA YA KUANZISHWA IZO NYINGINE
 
Samahani wakuu kwa anayekijua vizuri chuo cha NIT mazingira ya chuo yapo vipi kwa kusoma, na changamoto atakazo kumbana nazo huyu dogo ni kama zipi?

Maana ameapply hapo anataka kusoma transport and logistic management nyingine ni procurement and logistic management. Ninapenda kujua ili nijipange atakabiliana vipi na hivyo vitu.
Changamoto zipo lakini ni za kawaida kama vyuo vingine na hizi changamoto nadhani kwa kuwa miaka ya karibuni wameanzisha course nyingi hivyo kupelekea kupokea wanafunzi wengi. 1. Madarasa ya kusomea, hii inapelekea kusoma kwa shift unaweza kukuta mnasoma mwaka mmoja lakini unakuta wengine wanamalizia muhula wengine wapo likizo hivyo hivyo. 2. Sehemu za kulala pia ni changamoto kuna uwezekano wa jukosa hostel za chuo hivyo ajiandae kupanga hostel nje ya chuo. 3. Changamoto ya ngono ni kawaida sehemu zozote zile. 4. Vibaka upande wa usiku ajichunge sana anapokua anatoka nje ya chuo kipindi cha usiku. Mazingira yapo poa tu kwa kusomea hasa kipindi hichi cha kiangazi maana wametengeneza vimbweta vya kusomea vingi tu chini ya miti kuzunguka chuo. 6. Chuo kipo mjini hivyo changamoto za mjini za kawaida. 7. Chuo kipo karibu na soko hivyo la vyakula la mabibo. 8. Walimu wapo poa tu. 9. Maktaba pia ni changamoto maana maktaba iliyopo ni ndogo lakini watu wanashea hivyo hivyo na mambo yanakwenda lakini nahisi wanlifanyia kazi hilo
 
haya mkuu *boyfrendy je hzo likizo zpoje? yan kipind hcho atatakiw kurud nyumban au inakuaje sasa
 
Nit wako vzr sana kwenye koz za logistic and transport na automobile eng ni chuo ambacho ukiwafatilia walim unatoka na first class
 
Back
Top Bottom