B Bandio Senior Member Joined Feb 19, 2012 Posts 101 Reaction score 12 Nov 22, 2013 #1 Wadau naomba kujua kama shortlist ya TPDC pia inahusisha Technicians maana mimi nimejaribu kupekua sehemu zote sijaona na kazi hiyo ilitangazwa. Tafadhali naomba msaada maana kukaaa kijiweni kumenichosha.
Wadau naomba kujua kama shortlist ya TPDC pia inahusisha Technicians maana mimi nimejaribu kupekua sehemu zote sijaona na kazi hiyo ilitangazwa. Tafadhali naomba msaada maana kukaaa kijiweni kumenichosha.