Una picha yake mkuu...Nadhani in swahili ni "MRUJUANI"
Shabaaash....mwanamke unayejitambua.Mimi sababuni, lotion, dawa ya chooni hata mafuta ya miguuni natumia lavender ila kwa pure oil mpaka sehemu kuna Body shop or boots.
Mtafute BEN PO anayo FINEST PURE
Ahsante Mkuunenda kajaribu mtaa wa nyamwezi upande wa mabasi ya kawe mkabara na soko kuu. Kiswahili inaitwa MURUJUANI. Ila si rahisi kupata. Hapo dala dala stand kuna duka linakuwa na watu wengi wengi hivi. Linauza dawa asilia na many essential oils
Mafuta uliyapata sehemu gani Mkuu?Hii Lavender (Mrujuani) una mambo mengi sana katika faragha ya bibi na bwana chumbani. Mimi ni shuhuda. Baada ya mke wangu kujifungua alipoteza hamu na furaha ya tendo la ndoa. Nikadhani kwamba ni temporary na baada ya muda fulani atarudi kawaida. Hiyo hali iliendelea mpaka karibia mwaka mmoja.
Nilimshirikisha rafiki yangu mmoja Raia wa Morocco akanishauri nitafute mafuta ya kupaka mwilini ya Lavender na mishumaa (scented candles) ya lavender. Nikafuata ushauri wake nikavipata hivyo vitu.
Nilitafuta siku maalum ambazo najua tulikuwa tunapumzika chumbani na kuongea/kujadili mambo ya kifamilia ,nikawa Naiwasha ile mishumaa na nikitoka kuoga nilijipaka hayo mafuta mwilini. Na pia nilikuwa na mist spray ya lavender kwa ajili ya kupulizia mashuka na mito. Aisee wife alikuwa akiingia chumbani tu anakimbilia bafuni,akitoka huko ni mahaba mpaka bhujheeee.
Nikagundua kumbe katika haya mambo hakuna uchawi,ni kujua kucheza na hii miti/mimea/maua ya asili na mafuta tu. Maana prior to that Wife alikuwa analalamika anasikia natoa harufu Kama Beberu imechanganyika na kitimoto...ndio maana akawa hana mzuka na tendo la ndoa. Wake zetu hawa.
Ila all in all Lavender is the biznech....grown folks type of ish.
Kuna duka liko pale Morogoro store (Obay) mkuu.Mafuta uliyapata sehemu gani Mkuu?
Mimi nayahitaji Lita tano kila wikiulipata?