0656 43 66 62 nichekiKwa anayefahamu kuhusu minada ya magari bandarini naomba anipe ufafanuzi jinsi ya kununua
0656 43 66 62 nicheki
Kwann akucheki ???????? HAPA NI JAMIIFORUMS WHERE WE DARE TO TALK OPENLY0656 43 66 62 nicheki
Kwann akucheki ???????? HAPA NI JAMIIFORUMS WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
0656 43 66 62 nicheki
0656 43 66 62 nicheki
huwaga inafanyika mara kwa mara kwa duration zipi?Nilikua nimeandika kwa kirefu sana ila nilipopost nikaambiwa sija login kwahio ikafutika. Nikiwa kwenye pc niambie nikueleze kwa faida yako na kwa faida ya wengine lakini kwa sasa usiende kwa dalali usiemfahamu. Utajuta. Nimenunua magari hapo na kesho naenda tena kuna subaru, jaquar na Daihatsu Na Carina natamani nipate mmojawapo. Mnada ni kesho saa nne
Msinitajie mnada wa bandarini, mwezi wa 12 ilibaki kidogo nitapeliwe. Tafadhali kuweni makini sana na pale mahali....jamaa ananiunganisha na mtu ila siruhusiwi kuoanana nae...sitamani kabisa minada ya palex
Kwa anayefahamu kuhusu minada ya magari bandarini naomba anipe ufafanuzi jinsi ya kununua
huwaga inafanyika mara kwa mara kwa duration zipi?
Ukipata taarifa za mnada hakikisha unakuwepo mwenyewe siku ya mnada wala usiunganishwe na mtu.
unaweza kufanya mbinu ya kujua udhaifu wa kila gari hasa yaliyokaa ICD za mtaani ili ukitoa bei ujue cost za maintanance. yafahamu madeni kama ni kodi, wharfage na mengineyo usije kununua deni kuuubwaaa.
Usitumie dalali epuka kutapeliwa
hahahah ilikuaje.?
Mpwa inafanyika mara mbili kwa week Jumatatu na Ijumaaa. Juzi Ijumaaa Nimenunua gari na nimeitoa jana. Usitumie dalali kama hamfahamiani watu wanaibiwa sana sana
Mpwa inafanyika mara mbili kwa week Jumatatu na Ijumaaa. Juzi Ijumaaa Nimenunua gari na nimeitoa jana. Usitumie dalali kama hamfahamiani watu wanaibiwa sana sana
Haya ndio matatizo ya nchi yetu. Mazuri wanajibakizia wao. Kwa nini hakuna chombo kinachoweza kuwa wazi ktk kuuza mali kama hizi? Hii ni revenue ya serikali hivyo iwapo watu watakuwa wengi basi na possibility ya kupata bei nzuri na revenue kwa serikali inaongezeka. Hapa niishipo kuna minada ya aina mbili tofauti: Closed: yaani wote tunaona kitu as it is in short time na bei inashuka na mnada wa open: pale ambapo unakuwa na nafasi ya kuingia na kukagua kila kitu utakacho. Minada hii inatangazwa na bei ulipayo ndio final yaani hata taxes zote zishaingia huko. Hakuna madalali wa njaa. Waliopo unaweza kuwaelezea nini unataka na wananunua kwa binafsi yako.