Boss wangu nimeweka tena upya kama ulivyo agiza lakini usipoelewa na hapa yumkini wewe utakuwa ni kilaza na msaada wako utakuwa hauwezi kukidhi mahitaji yangu!:A S shade:Ebu weka swali lako vizurri alieleweki,vingnevyo tutakupa maelezo yasio eleweka pia

senkiyu sana!!mkuu unapoenda katika sehemu ya kuandikia kitu usiandike kwanza we click go advanced
View attachment 90419
then itafunguka sehemu nyengine ya kuandikia hapo utapata sehemu ya kueka attachment click icon ya attachment kama picha chini inavyoonesha
View attachment 90420
then itakuja pop up window ya kuchagua file unalotaka ku upload hapo utaweza ku upkoad audio yako.
nimeeka attachment kama demo