Msaada kwa anayejua haya

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Leo nilikuwa na automatic scan channels za FM radio kwa kutumia smart phone yangu ikanipa frequencies ambazo simu yangu inaweza kuzi detect sehemu nilipo.
Nimejaribu kusikiliza moja moja ili kupata jina halisi la kituo cha redio husika imekuwa vigumu maana zingine miziki na maongezi mwanzo mwisho.Zote ni MHZ anayejua yeyote anisaidie.
87.7
88.1
88.7
89.7
90.0
90.9
91.3
91.7
92.1
93.7
94.1
95.7
96.1
96.9
97.7
98.1
99.3
100.1
104.1
106.1
 
87.8 TBC Radio
88.1 EA Radio
88.9 Wasafi Radio
89.7 Radio One
90.0 TBC FM
93.7 E FM
98.1 Wapo Radio
Nimekutajia Chache Nyingine Wengine Watasaidia
 
Nakumbuka kale kawimbo " 89.5 fm 1440 am radio one stereo, radio one stereo x4
Tcra wamezingua kweli eti sahv 89.7
 
Leo nilikuwa na automatic scan channels za FM radio kwa kutumia smart phone yangu ikanipa frequencies ambazo simu yangu inaweza kuzi detect sehemu nilipo.
Nimejaribu kusikiliza moja moja ili kupata jina halisi la kituo cha redio husika imekuwa vigumu maana zingine miziki na maongezi mwanzo mwisho.Zote ni MHZ anayejua yeyote anisaidie.
87.7
88.1
88.7
89.7
90.0
90.9
91.3
91.7
92.1
93.7
94.1
95.7
96.1
96.9
97.7
98.1
99.3
100.1
104.1
106.1

Ooop,😷
 
Aise mtoto halali nimegundua hilo na mimi sababu nime Google nikakuta list mfano radio flani huku kwangu labda inaonyesha na unaisikia kwenye 88.7MHZ lakini Google kwa hapo Dar unakuta 88.5MHZ.
Kiuhalisia mfano mtu wa Mtwara na Bukoba hawawezi kuwa sawa kutokana na umbali hayo ndio masafa.
Hizi radio zimepewa coverage ya eneo.Radio ya Mtwara akipewa masafa flani vile hafiki Bukoba masafa hayo hayo anaweza pewa wa Bukoba ila wanatofautisha kwa decimal place kidogo labda 0.2
Inategemea pia sehemu ulipo maana kuna station zina change kulingana na mkoa
 
Hapo kwenye radio one na wasafi kuna radio free afrika imenipachika hapo katikati yao
87.8 TBC Radio
88.1 EA Radio
88.9 Wasafi Radio
89.7 Radio One
90.0 TBC FM
93.7 E FM
98.1 Wapo Radio
Nimekutajia Chache Nyingine Wengine Watasaidia
 
Ni vizuri ukataja eneo husika ulipo ili upate majina halisi Kwa mfano ukiwa Mwanza, 88.1 ni clouds kama sijakosea, lakini ukiwa Dar utapata redio tofauti kabisa.
Leo nilikuwa na automatic scan channels za FM radio kwa kutumia smart phone yangu ikanipa frequencies ambazo simu yangu inaweza kuzi detect sehemu nilipo.
Nimejaribu kusikiliza moja moja ili kupata jina halisi la kituo cha redio husika imekuwa vigumu maana zingine miziki na maongezi mwanzo mwisho.Zote ni MHZ anayejua yeyote anisaidie.
87.7
88.1
88.7
89.7
90.0
90.9
91.3
91.7
92.1
93.7
94.1
95.7
96.1
96.9
97.7
98.1
99.3
100.1
104.1
106.1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom