Msaada kwa anayefahamu vizuri LED flat screen

Msaada kwa anayefahamu vizuri LED flat screen

thijui mwaya, labda mwombe jk awaite wazungu ili iwe " kwa msaada watu wa marekani"
 
Wandugu nahitaji aina gani nzuri na yenye picha clear yaani HD.
 
Tafuta lenye chogo hizo LED inaoneka bado sana!!!!
 
Mkuu hapa ni bei yako tu. Kuna magoma hadi ya Million 50 aisee. Ni vema utaje bei/range ya uwezo wako wataalamu wakupe ushauri na mahala pa kununua aisee.
 
Back
Top Bottom