Elninho Elninho
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 537
- 401
Nili uninstall facebook application from my iphone lakini nikiingia app store ili kuidownload nashindwa na inanipa msg kuwa ni temporary unavailable...nikajaribu kuitoa facebook messenger but nikaweza kui re-install,je ni tatizo la simu au app store wenyewe ndio wamezingua??natumia iphone 6 but hili tatizo ndio nimaliface jana