Msaada kwa anayefahamu fani ya Electrical Installation

Msaada kwa anayefahamu fani ya Electrical Installation

MOI JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
1,735
Reaction score
1,085
Je, mtu akiwa na Shahada(Degree) ya Elimu(Sanaa), katika fani ya UMEME anaanza na LEVEL I au atachukua DIPLOMA moja kwa moja?
 
Kwa mtizamo wangu itakupasa kuanza na level ya chini kama vile level 1 kwa veta na level 4 kwa technical college ili kupata misingi ya fani husika
 
Back
Top Bottom