MSAADA Kwa anaejua Microft Office Excel.

MSAADA Kwa anaejua Microft Office Excel.

Mawaiba

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
417
Reaction score
151
Habari za leo wanaJF. Natumia Office Excel 2007. Wakati naendelea na kazi zangu, sijui nimefanya nini, kilichotokea ni kwamba "Sheet tabs", zile ambazo huwa ziko chini ya worksheets, hazionekani tena. Naomba anaejua jinsi ya kuzirudisha tena anielekeze. Nakumbuka mara ya mwisho nilifungua Excel Option nikafanya kitu fulani pale ambacho sikumbuki tena. Asanteni.
 
watakuja ila wanasikiliziana kwanza nani aanze kesho nenda kaandamane ulichouliza huwa hakiulizwi ni kidogo sana kwenye it thus why tunalilia elimu ya watz ccm hawataki
 
competency kwa watz ni ndogo sana so inabidi usubiri sana
 
Yawezekana ulihide sheets,jaribu kwenda kwny options tena ukikuta option ya kuunhide then fanya hvyo
 
Habari za leo wanaJF. Natumia Office Excel 2007. Wakati naendelea na kazi zangu, sijui nimefanya nini, kilichotokea ni kwamba "Sheet tabs", zile ambazo huwa ziko chini ya worksheets, hazionekani tena. Naomba anaejua jinsi ya kuzirudisha tena anielekeze. Nakumbuka mara ya mwisho nilifungua Excel Option nikafanya kitu fulani pale ambacho sikumbuki tena. Asanteni.
Ili kuona your tabs again, double-click
the window's title bar.
Kama bado hazitokei fanya hivi,nenda kwenye View tab, in the
Window group, click Arrange All.
Under Arrange , click Tiled , and then
click OK.
Au labda Show sheet tabs setting is
turned off,so ili kuturn on,click the
Microsoft Office button , and then
click Excel Options . In the Advanced
category, under Display options for
this workbook , look at the Show
sheet tabs check box. Is it cleared?
If so, select it, and then click OK.
Kama bado na hapo rudi tena jukwaani
 
learningexpresslibrary.com is the very good site ya kujifunza excel for free ndugu yangu!!!

Hope it will help
 
Ili kuona your tabs again, double-click
the window's title bar.
Kama bado hazitokei fanya hivi,nenda kwenye View tab, in the
Window group, click Arrange All.
Under Arrange , click Tiled , and then
click OK.
Au labda Show sheet tabs setting is
turned off,so ili kuturn on,click the
Microsoft Office button , and then
click Excel Options . In the Advanced
category, under Display options for
this workbook , look at the Show
sheet tabs check box. Is it cleared?
If so, select it, and then click OK.
Kama bado na hapo rudi tena jukwaani

Very right mkuu, and well elaborated, so Good!!!
 
chukua hayo maelekezo hapo juu.
Siku nyingine ukikwama kitu just google ukiandika kile unachotaka kufanya na pia unaweza kuingia kwy help ya microsoft hapohapo kwy computer yako.
 
Back
Top Bottom