Msaada kwa anaeifahamu vizuri Tecno P3

Msaada kwa anaeifahamu vizuri Tecno P3

Dona Kantri

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
346
Reaction score
115
Habari wanajanvi!!

Ndugu zangu mimi ni mmoja kati ya wale wanao miliki simu aina ya Tecno P3, lakini leo nimeexperience the difference pale nilipokuwa na install baadhi ya applications naambiwa " your memory is getting low", "insufficient memory" naomba kusaidiwa namna ya kuzihamisha applications kutoka internal memory kwenda kwenye sd card!!

Ahsanteni.
 
Bonyeza hio link than fata step hzo apo

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk
 
Steps to Root Your Android Phone with Framaroot
1. Open the installed Framaroot application
on your phone.
2. Choose Install Superuser
3. You will now see few options available
(exploits) on the screen just click on the
first one.
4. If you get a message that says “Failed …
Try another exploit if available”� then
repeat step 3 choosing another exploit.
5. If you get a message that says Success …
Superuser and su binary installed, You have
to reboot your device.
6. You have successfully rooted your phone,
now download Rootchecker from Playstore
to confirm it.
Note: with Framaroot you can also unroot back
your android devices.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk

Poa ndugu acha nijaribu kufanya hivyo..nashukuru!!
 
Safi sana. Thats the best advice ever.
Ila anachotakiwa kujua ni kuwa, simu za android ambazo ni za bei ya chini huwa na internal memory ndogo sana(mostly). Huwezi kuinstall apps nyingi zenye Mb kubwa. Na kanuni zao ni kuwa apps zote huwa zinaingia kwenye internal memory kwa asilimia kubwa.
Sasa space ikijaa, huwezi kudownload kupitia memory card.
 
Safi sana. Thats the best advice ever.
Ila anachotakiwa kujua ni kuwa, simu za android ambazo ni za bei ya chini huwa na internal memory ndogo sana(mostly). Huwezi kuinstall apps nyingi zenye Mb kubwa. Na kanuni zao ni kuwa apps zote huwa zinaingia kwenye internal memory kwa asilimia kubwa.
Sasa space ikijaa, huwezi kudownload kupitia memory card.

Ahsante
 
hizi tecno p3 zna iyo changamoto kipind unaitumia, mie mara nying na boost kwa staili hii :
- Naenda kwenye Main menu
- Nachagua settings
- Kwenye settingst nachagua Application
- Ndani yake nachagua Manage Applications
- Hapo nitaziona applications zilizomo ambapo nitachagua zote zenye megabyte kubwa , moja baada ya nyingine
- Nachagua ya kwanza mf facebook alafu na clear data ,ivo ivo kwa zinazofuata mpaka tatizo linaondoka!!
 
Back
Top Bottom