Msaada kwa anaefahamu kupakua Azamtv app

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,150
1,812
Niko nje ya Nchi nimekuwa nikijaribu kupakuwa app ya Azam kupitia Simu yangu ili niweze kufuatilia mpira lakini jitahada zangu hazileti matumaini yoyote inaniletea picha hizi msaada kwa ajuaye tafadhari
Screenshot_2019-09-29-14-40-26.jpeg
 
Now days wapo kweny marekebisho mkuu tulia ukikaa sawa utaipata mbona mpaka hapo tayar ushamaliza
Screenshot_20190930-172332_Azam%20TV.jpeg
Screenshot_20190930-172114_Azam%20TV.jpeg
 
Back
Top Bottom