MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,106
- 4,621
sana mkuu ukiwa na playstation 3 ukafungua Banda utapiga hela.WAKUU biashara ya Playstations inatoa,??
lisaaa limoja ni elfu 3
let's assume unafungua saa 5 asubuhi unafunga saa 4 usiku ni masaa 13 umeme kukatika ngoja ni assume masaa 10
masaaa 10 ×3000= 30000 hapo nikwa Tv moja
ukiwa nazo 3 approximately utaingiza elfu 70 per day mfano unasave 50 per day 50×30 =milion moja na nusu per month
hii biashara itakulipa mkuu tafuta location nzuri.