Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,128
- 1,842
Wakuu habari,kwa mwenye uelewa juu ya masuala ya kibenki au aliyewahi kuuza deni kutoka bank moja kwenda nyingine.
Kiufupi nimeomba loan balance kati ya moja ya bank pendwa ili salio la deni langu lilipwe na benki nyingine inayokuja kwa kasi na yenye riba nafuu,sasa nilichokutana nacho ni kiasi cha 13m kama nitafanya top up kwao,na kiasi cha (14.1m) km nitaenda kuuza deni hilo bank nyingine.
Swali fikirishi kwa mimi nisiyejua masuala ya kibenki/kifedha,tofauti hyo ya 1m ni ya nn?
Jibu toka kwa Manager likawa; ni riba kwa kuwa ninajitoa kwenye bank yao,huwa wanafanya hivyo.
Wakuu hiki kitu kipo au napigwa mchana kweupee,natanguliza shukrani kwenu.