Msaada: Kwa aliyewahi kufanya interview Selcom Wireless

Vieloon

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,520
694
Jaman aliyewahi kufanya Interview Selcom...msaada, au mwenye any info.
 
one man down..niliomba customer service ila cjatumiwa email mpaka sekunde hii.
 
Wamenitumia tu email hapa kwamba niende kwenye interview next week, hata nafasi yenyewe niliyoomba nishasahau aysed
kama ni hizi za juzi juzi zitakua ni zile walitoa zoom za customer service
 
Back
Top Bottom