Mimi ni miongoni mwa
waliobahatika kuitwa kwenye interview na Ofisi za sekretariet ya ajira
katika fani ya Social Welfare itakayofanyika Mwalimu Nyerere Memorial
Academy-Kivukoni.
Naomba msaada kwenu kwa yoyote anayejua au aliyewahi kufanya interview
ya social welfare, huwa wanauliza nini au mtu yoyote mwenye sample ya
maswali please.
Kila la kheri na jion njema.
daaah hata mi jina langu limetoka but box namba wameiweka sio ile nilitumia sa cjui ni mm au kuna mwingine mwenye jina kama lile......
Mimi ni miongoni mwa waliobahatika kuitwa kwenye interview na Ofisi za sekretariet ya ajira katika fani ya Social Welfare itakayofanyika Mwalimu Nyerere Memorial Academy-Kivukoni.
Naomba msaada kwenu kwa yoyote anayejua au aliyewahi kufanya interview ya social welfare, huwa wanauliza nini au mtu yoyote mwenye sample ya maswali please.
Kila la kheri na jion njema.
Ni wewe tu mkuu. Wale jamaa kuchanganya vitu kawaida mbona. We nenda.
Jaman wametoa wapi hilo Tangazo la kuitwa kwenye interiew? Silioni kabisa na mm niliomba, plz msaada wenu
Interview watu 1200!!!!