Msaada kwa aliyewahi fanya interview ya Social Welfare

MLINGANO

Member
Nov 26, 2013
15
2
Mimi ni miongoni mwa waliobahatika kuitwa kwenye interview na Ofisi za sekretariet ya ajira katika fani ya Social Welfare itakayofanyika Mwalimu Nyerere Memorial Academy-Kivukoni.

Naomba msaada kwenu kwa yoyote anayejua au aliyewahi kufanya interview ya social welfare, huwa wanauliza nini au mtu yoyote mwenye sample ya maswali please.

Kila la kheri na jion njema.
 
Mkuu ulivyoomba tu msaada unaonekana unaogopa sana, cha msingi sana undoa hofu ya kuwa interviewed ni mambo ya kawaida tu huwa wanauliza wala hamna cha ajabu.
 
HApana mkuu,interviw ya kwanza ni written so na wale jamaa huwa wanarudia maswal ya nyuma ndo maana naomba km unafahmu lolote
 
Elimu haiwasaidii ninyi yaani hadi interview mnataka kudesa! Acheni ulofa huo.
Wewe nenda ukiwa umejiandaa ujuavyo na then ndio utajua wanataka nn hapo
 
Sio tunataka desa tunataka kujua mitihani yao ipoje kama wanatoa ya darasani au kwa kutumia experience.
 
Mimi ni miongoni mwa
waliobahatika kuitwa kwenye interview na Ofisi za sekretariet ya ajira
katika fani ya Social Welfare itakayofanyika Mwalimu Nyerere Memorial
Academy-Kivukoni.

Naomba msaada kwenu kwa yoyote anayejua au aliyewahi kufanya interview
ya social welfare, huwa wanauliza nini au mtu yoyote mwenye sample ya
maswali please.

Kila la kheri na jion njema.

daaah hata mi jina langu limetoka but box namba wameiweka sio ile nilitumia sa cjui ni mm au kuna mwingine mwenye jina kama lile......
 
ishu hapa ni uelewa tu wa mambo related to social welfare vijana. Nenda ukiwa competent na unajiamin na akili yako. Ukijiamini mambo yanaenda simple tu
Mi pia nimeitwa huko tutakutana
 
daaah hata mi jina langu limetoka but box namba wameiweka sio ile nilitumia sa cjui ni mm au kuna mwingine mwenye jina kama lile......

Ni wewe tu mkuu. Wale jamaa kuchanganya vitu kawaida mbona. We nenda.
 
Mimi ni miongoni mwa waliobahatika kuitwa kwenye interview na Ofisi za sekretariet ya ajira katika fani ya Social Welfare itakayofanyika Mwalimu Nyerere Memorial Academy-Kivukoni.

Naomba msaada kwenu kwa yoyote anayejua au aliyewahi kufanya interview ya social welfare, huwa wanauliza nini au mtu yoyote mwenye sample ya maswali please.

Kila la kheri na jion njema.

mlingano kwa nijuavyo mimi jamaa hawatabiriki.. yani wanaweza kuweka maswali ya general au ya darasani..... mkiwa wengi ndi hatari zaidi wanatafuta maswali ya kuwapunguza. hata hvyo kwa uzoefu wangu maswali yao mengi ya written ni ya kumpima mtu uwezo binafsi wa kufikiri.. sasa kwa wale wanaotegemea sana nondo hapo wanapukutishwa... wakati mwingine sasa wana tabia ya kugeuza.. nakumbuka kuna siku maswali ya HR waliwapelekea loan officer na wale wa HR tukaletewa mtihan ambai ulitakiwa ufanywe na hao wa loan ofcer.. hili lilifanywa kwa kukusudia na si kwa bahati mby.. ktk hali hyo wengi walipata maksi kiduchu.. hii ndo bhana
 
Jaman wametoa wapi hilo Tangazo la kuitwa kwenye interiew? Silioni kabisa na mm niliomba, plz msaada wenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom