Msaada kwa aliyesoma chuo cha Bumbuli COTC

Msaada kwa aliyesoma chuo cha Bumbuli COTC

KIDASAA

New Member
Joined
Sep 25, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Habari wakubwa,

Kama niulizavyo hapo naomba kujua mtu yeyote aliyesoma chuo cha COTC Bumbuli Lushoto, Tanga.

Kuna baadhi ya watu wamechaguliwa huko so naomba kwa aliyesoma au anayekifahamu hicho chuo kindaki ndaki aje nipate kumuuliza maswali mawili matatu ili wanaoenda wakijue chuo vyema na mazingira.

Nitashukuru
 
Back
Top Bottom