Nataka anisaidie kucheki jina langu nimepangwa hostel gani,maana me niko mkoani na kuja huko ni hadi next week!kama yupo naomba nimPM jina langu anisaidie..
nataka anisaidie kucheki jina langu nimepangwa hostel gani,maana me niko mkoani na kuja huko ni hadi next week!kama yupo naomba nimpm jina langu anisaidie..
Nataka anisaidie kucheki jina langu nimepangwa hostel gani,maana me niko mkoani na kuja huko ni hadi next week!kama yupo naomba nimPM jina langu anisaidie..
mbona unawez kuchek online, https://aris2.udsm.ac.tz/index.php wek username ndo admision namba yak na pasword ni surname yako, hlf utaclick my accomodation