Wewe ni ccm au UKAWA?Mtatiro nafasi yake alichaguliwa Magdalena sakaya.
Na nafasi ya professor lipumba bado iko wazi na Katiba ya CUF inataka nafasi hiyo ijazwe katika kipindi kisichozidi miezi sita.
Kwasasa iko kamati ya watu watatu chini ya wakili Twaha Taslima kuivusha CUF katika kipindi hiki hadi pale nafasi ya mwenyekiti wa chama itakapojazwa
CUF ndo inaelekea kuzimu. kule Zanzibar CUF hawana cha kuwadanganya wananchi kwani wametawala pamoja na CCM hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzie kusema kua hakuna kilichofanyika. Nchi nyingi ambazo mwanzoni ziliunda serikali ya Mseto kipindi cha pili wapinzani waliangukia pua mfnao Kenya na Zimbabwe. Ndicho wanachoenda kukipata CUF Zanznibar
Wewe ni ccm au UKAWA?
Google Mr. Atugo Katiba ya the Civic United Front (CUF- Chama Cha Wananchi). Utaipata huko.Wakuu, ninaomba kama miongoni mwetu kuna mtu amebahatika kuwa na softcopy ya Katiba ya CUF atuwekee hapa jukwaani.
Na kama unayo hardcopy, ninaomba utuwekee Ibara zinazofafanua NAMNA GANI VIONGOZI WAKUU WA CUF WANAVYOPATIKANA NA MAJUKUMU YAO.
PIA, COMPOSITION YA KAMATI KUU NA BARAZA KUU.
Wabillah Tawfiq