Msaada kwa aliye na Katiba ya CUF

kabamanya

Senior Member
Jun 20, 2013
163
44
Ndugu zangu habari za asubuhi,

Nimejitokeza hapa kuwaomba mnisaidie kupata katiba ya CUF, au muundo wa uongozi wa CUF, kwa maana ya ni vyombo gani vya maamuzi vipo CUF na ni wapi wajumbe wake, ni nani alichukua nafasi ya Professor Lipumba, na Mtatiro? kama unaweza kuwa na taarifa hizi kwa soft copy au hard copy nijulishe/naomba msaada wako.
Nitashukuru sana kwa msaada wako mwana jamvi.

mawasiliano akabamanya@gmail.com
+255762040330
 
Mtatiro nafasi yake alichaguliwa Magdalena sakaya.

Na nafasi ya professor lipumba bado iko wazi na Katiba ya CUF inataka nafasi hiyo ijazwe katika kipindi kisichozidi miezi sita.

Kwasasa iko kamati ya watu watatu chini ya wakili Twaha Taslima kuivusha CUF katika kipindi hiki hadi pale nafasi ya mwenyekiti wa chama itakapojazwa
 
Wewe ni ccm au UKAWA?
 
CUF ndo inaelekea kuzimu. kule Zanzibar CUF hawana cha kuwadanganya wananchi kwani wametawala pamoja na CCM hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzie kusema kua hakuna kilichofanyika. Nchi nyingi ambazo mwanzoni ziliunda serikali ya Mseto kipindi cha pili wapinzani waliangukia pua mfnao Kenya na Zimbabwe. Ndicho wanachoenda kukipata CUF Zanznibar
 
Wewe kweli Kabila lako ni CCM! Jamaa kauliza katiba ya CUF lakini wewe ndio unamjibu nini?
 
Ndugu wanajamvi, ninashida nahitaji kupitia katiba ya chama cha wananchi CUF ilikuweza kujua miundo ya utawala na mgawanyo wa madaraka kati ya CUF zanzibar na Bara. Naomba kwa mwenye copy anisaidie ili iweze kukamilisha andiKO langu.

+255762040330
kama unasoft copy pia unaweza nitumia kupitia eliudkay@hotmail.com.

nitashukuru kwa msaada wako.:bathbaby::smokin::bathbaby::bathbaby:
 
Wakuu, ninaomba kama miongoni mwetu kuna mtu amebahatika kuwa na softcopy ya Katiba ya CUF atuwekee hapa jukwaani.

Na kama unayo hardcopy, ninaomba utuwekee Ibara zinazofafanua NAMNA GANI VIONGOZI WAKUU WA CUF WANAVYOPATIKANA NA MAJUKUMU YAO.

PIA, COMPOSITION YA KAMATI KUU NA BARAZA KUU.

Wabillah Tawfiq
 
Google Mr. Atugo Katiba ya the Civic United Front (CUF- Chama Cha Wananchi). Utaipata huko.
 
Ni muda sasa toka sintofahamu iibuke katika chama cha wananchi (C.U.F)

Mjadala wa mzozo huo uliotokana na nafasi ya uenyekiti Ambapo ni Katiba ya CUF ndio yenye jibu.

Ni wakati sasa Sote tupate KATIBA ya chama tuipitie kwa wakati huu na iwe na matumizi hata wakati ujao.

NB: Pia haitakuwa mbaya kama Katiba za vyama vyote zitapatikana
 
Tenda wema uende zako.....Lipu kapigwa nje ndani....movie nzuri sana na hakuna aliyemwaga damu mpk sasa so ni movie kweli kweli kwa sababu wacheza movie huwa hawafi ki ukweli ukweli.
 
Akili yako inakutuma kuamini kila mtu anaishi karibu na makao makuu! Huna ulazima wa kuandika.
 
Zipo mifukoni hutolewa au kubadilishwa kutokana na mazingira
Cuf na chadema wana katiba kama tano tofauti
 
Wanajamvi kama heading inavyojieleza ninashida na katiba ya chama cha cuf.
Naomba msaada wenu wanajamvi.

NB:
Marekebisho sio katuiba ni katiba ya chama cha cuf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom