Salaam wakuu!
Tafadhali nimebadili PC sasa ninaombeni link ninayoweza kupata application zifuatazo.
1. Application ya kucheza nyimbo both audio and video. kwasasa natumia VLC ila inakwamakwama yani kama ina scratch vile, hivyo kama unajua nyingine kuacha VLC nisaidie ili niipakue hapa
2. Application ya kupakua kutoka YouTube nilikuwa natumia you-tube down loader ila kwa sasa imekuwa slow sana hivyo nashindwa kabisa kupakua nyimbo.
3. Pia naomba link ya kupakua game ya ZUMA revenge au ZUMA deluxe
ASANTENI

1.Hebu elezea hizo scratch zikoje?
2. Kupakua videoo kwenye site yoyote tumia hii Download Baidu Browser
3. ZUma deluxe pakua hapa Zuma - Download
yani scratch nikiwa na play video inakwama kwama asante mkuu
ASANTE mkuu
hii ya ku download imekaa poa sana asante sanaaa na Ubarikiwe
ile ya zuma deluxe siyo free inahitaji ni nunue
model ya computer ni TOSHIBA SATELLITE mini
Shukrani ymollel