Jaribu Huone Adsense sasa hivi hawataki mchezo kabisa yaani uki vunja sharti hata moja tu hakuna msamaa hata kama una 10000000 kwenye akaunti, unafungiwa na pesa huzipati unapo pita unakuta adsense kwenye blog za kiswahili hao wame tumia ujanja na ikigundulika unafunguwa, Achana na blog za Kiswahili hazilipi Ndugu Hebu chek MM Hapa CHini
Mkuu adsense account haiwezi kufungwa kamwe kutokana na lugha..ukiweka lugha tofauti hua wanaondoa matangazo kwenye post zako.. ukitumia template za kiswahili kamwe hawawezi kukufungia.. adsense hufungiwa kwa makosa mawili makubwa.. ku-bonyeza matangazo yako na kua na CTR kubwa