exactly sababu nijuavyo mimi android hasuport blacklist wale wanaotengeneza apps wanatumia tu tricks kama hio unayosema simu inaita sekunde tu then inakata.Nijuavyo mimi hakuna njia ambayo mtu atakupigia simu asikupate zaidi ya ku switch off au offline mode, zaidi ya hapo njia zote lazima mtu akupate kwa sekunde kadhaa kisha simu ita auto reject hiyo call, tuwaombe Voda, TiGo, Airtell, Zantel na TTCL kama wanaweza sitisha No flani isikupate lakini kwa njia hizi tunazo peana lazima mtu ajue umemkatia simu,,
NB:- Dawa ya deni ni kulipa sio kukimbia.
ingia kwenye 'google market' download 'call black list' kisha iweke hiyo namba kwenye hyo application hapo hautoweza kupata simu zake wala sms zake..
exactly sababu nijuavyo mimi android hasuport blacklist wale wanaotengeneza apps wanatumia tu tricks kama hio unayosema simu inaita sekunde tu then inakata.
kama kitu hujui usi conclude.simu yoyote kuweza kuplay yotube unadownload trasher app then ukii accept to configure then fanya setting kutokana na uitaji wako
duh hio youtube imeingiaje kwenye blaclist?
si vyema kwa machifu kulumbana waziwazi,nachotaka kueleza ni kwamba si simu zote zinaweza kuplay yotube so same as si simu zote zinaweza kuconfigure iyo program kwaiyo simu zote zenye uwezo wa kucheza yotube zinaweza apply iyo configuration na kuwa active.ndo maana nikaitwa chief mtemi,sorry usijinyonge lakin
Nipeni maujanja kwenye black berry 9700 ma-chief maana kuna mtu ananisumbua sana!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
si vyema kwa machifu kulumbana waziwazi,nachotaka kueleza ni kwamba si simu zote zinaweza kuplay yotube so same as si simu zote zinaweza kuconfigure iyo program kwaiyo simu zote zenye uwezo wa kucheza yotube zinaweza apply iyo configuration na kuwa active.ndo maana nikaitwa chief mtemi,sorry usijinyonge lakin
nipo jukwaa hili sababu technology hua haidanganyi any proof ya blacklist au software yoyote ile inayofanya kazi?
Ndugu waheshimiwa, naomba procedure za phone setting ili kama ninahitaji privacy wa kutopokea simu ya mtu.
Binafsi sipendi kundangaya ila nahitaji akinipigia akute sipo hewani.
Natumia Android TECNO
I SUBMIT
Mimi natumia Blackberry 9700 nataka watu wawili wasinipate kabisa,nifanyeje wakuu?Maana wasumbufu sana!!Ahsanteni
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums