Msaada: Kuzuia matangazo kwenye simu

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,594
Reaction score
1,806
Hamjambo watu wa jukwaa hili?

Naombeni msaada mnielekeze hivi ni app gani inayoweza kuzuia matangazo ya biashara yanayokuja yenyewe kwenye smartphone yangu.

Yaani yanakera sana mara ingine unakuwa una soma kitu serious mara pap hilo limetokea linaziba screen nzima kuliondoa mpaka uclick x.

Naomba mnikomboe kutoka katika adha hii.

Wataalamu najua mko wengi.
 
Naunga mkono hoja
 



!
!
Naliona Hilo Tatizo Kwenye Tecno
 
Install ''adguard''
nmeshindwa ku upload application yenyewe
 
Naona hata application ya Jf wamekubali kuvamiwa na upuuzi kama huu. Yanakera zaidi ya sana
 
At mimi mwanzo nilikua na simu ya tecno huo upuuzii nilikua nauona ila now nina samsung at sioni matamgazo
 


Pay/subscribe to apps and enjoy adds free apps
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…