msaada kuusu Pdf

Mwasandembwa

Member
Apr 24, 2012
72
14
Ndugu zangu wanajamvi nna shida sana na hiyo app yaitwa PdF au adobe lakini kila niitafutapo naambiwa nilipie, hiv hakuna njia nyingine ya kuipata pasi na kulipia kibaya zaidi wataka nilipie kwa kuandika namba za kadi ya benki, hapo nakosa imani kabisa. Naomba msaaba wenu natumia bbry curve.
 
Adobe Reader au Adobe Acrobat Professional ? aina gani ya adobe ya kusomea tu au hata ya kufanya editing?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom