Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Mkuu mimi natumia tecno c8,nasikia kuna jinsi ya kuiupgrade kutoka lollipop kwenda mashamallow!........ Please naomba nipe steps na procedure za kuupgrade mkuu!setting then about then software update jaribu hio kwanza
Kwenye simu huo ni ujanja tu wame rename ili simu ionekane ni international version ambayo ndio g900f ..lakin ukweli hiyo ni g900p,ambayo ni sprint version..na hiyo firmware nlokupa ndio ya simu yako .Kuna kitu kingine mkuu kwenye download mode imeandikwa sm g900p kwenye setting ya simu imeandikwa sm g900f hili haliwezi kua tatizo
Ukiangalia software update unapewa ujumbe gan?
Hii ni custom rom
Unamaanisha kama hivi
Ukichek Kwa wireless vp ?View attachment 483551
Inakuwa inaonesha kwamba update inakuwepo kwenye CDMA mode kwa sasa natumia line za GSM kitu ambacho sijaelewa ni kama simu inatumia both GSM & CDMA na pia CDM mode haifanyi Nazi through the existing GSM Chip inserted.
YeapHii ni custom rom
Model yake ni SO-01Fitabidi uiflash firmware yake manual, ila itabidi utaje model no kwanza
Mkuu nisaidie, Mimi natumia Samsung Galaxy S4....nawezaje ku-upgrade kutoka hii android version 5.0.1 kwenda ya juu.Kwenye simu huo ni ujanja tu wame rename ili simu ionekane ni international version ambayo ndio g900f ..lakin ukweli hiyo ni g900p,ambayo ni sprint version..na hiyo firmware nlokupa ndio ya simu yako .
S4 model gan mkuuMkuu nisaidie, Mimi natumia Samsung Galaxy S4....nawezaje ku-upgrade kutoka hii android version 5.0.1 kwenda ya juu.
GT-I9500S4 model gan mkuu
cheki hapaModel yake ni SO-01F
Ipite huko kote mwisho nirudishiwe ikiwa 6 tayariupo android 4.4 unataka kwenda 6. bila kupitia lollipop? unatakia kukimbia wakati hujatembea bado?
Kama unajibiwa hivyo ina maana device yako haijapokea version au firmware mpya.Inaniambia system is updated mkuu msaada njia nyingine tafadhali
Mkuu umedhibitisha hicho kituKama unajibiwa hivyo ina maana device yako haijapokea version au firmware mpya.
Angalizo..sio simu zote zinaweza kuwa upgraded kuwa ktk latest model.
Baadhi huishia ktk matoleo ya nyuma tu.
Kama kitkat, au Jelly Bean nk.
Hilo nina uhakika nalo sana
Mwisho ni lolpop mkuu..otherwise utumie custom romGT-I9500
custom rom ndo inakuaje hio mkuu!?Mwisho ni lolpop mkuu..otherwise utumie custom rom
Alafu hio lolpop si ndo niliyonayo sasa!?Mwisho ni lolpop mkuu..otherwise utumie custom rom