tisa desemba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 434
- 115
habari wadau, kwa wale wenye ujuzi na mambo ya IT, naomba kufundishwa namna ya ku'unlock modem ya safaricom niliyokuwa nikiitumia mombasa kenya now nipo home kilwa, maeneo niliyopo kuna network ya airtel tu. nimenunua line ya airtel nikichomeka modem kwenye pc yangu inasoma safaricom then network edge haipandi.
mdel: E160
IMEI: 351596034202277
SN: DK5TAA1921024118
msaada pls...
mdel: E160
IMEI: 351596034202277
SN: DK5TAA1921024118
msaada pls...