Msaada wakuu, kuhusu modem zte mf 190 3.75g ya airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakuu, kuhusu modem zte mf 190 3.75g ya airtel

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Muangila, Jan 4, 2012.

 1. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  ​Salaam wakuu
  mi nilikuwa na modem ya huawei E1550 ya airtel ilikuwa internet ilikuwa fasta sn tu kwa bahati mbaya iakaribika nikalazimika kununua modem mpya za airtel aina ya ZTE MF190 3.75G lakini cha kushangaza hii ukiiconnect network inakuwa slow sana na haifunguki automatically mpk uifungulie kwenye my computer wakati nimeisha install plz kwa mwenye utaalam naomba msaada.
   
 2. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Nasubiria msaada wakuu hii modem hata kusoma laini inakuwa tabu cjui ni nini?
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  jaribu kingia hapa ''Tools - option - network - click registration mode - chagua WCDMA only - click penye manual search - refresh - hightligt celtel 3G - click register - rudijuu click automatic search. then apply kisha OK

  IKISHINDIKANA NIJULISHE ILA UWE MAKINI KTK STEP HIZO
   
 4. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  hii tools mkuu ipo kwenye softwere ya modem au kwenye Pc kama kwenye modem hii tools hamna hata kwenye sehemu ya setting kuna orodha airtel kwa nchi mbalimbali i.e airtel ug ,airtel tz ,nk unachagua nchi yako alafu kwenye Network selection kuna manual na auto,then kwenye auto kuna UMTS ONLY GSM ONLY na AUTOMATIC
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ingia hapo kwenye modem jaribu UMTS only au zingine na isiwe GSM only hii ipo slow pia jaribu kucheza na hizo bands
   
 6. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Poa mkuu ngoja nijaribu na hiyo tatizo hata kuditect sim card ni tabu
   
Loading...