wakuu name leo nimehamia kaulimwengu cha blackberry nimenunua kwa mtu sasa nashindwa kuunga net nimenunua bundle ya bb ila haifungui chochote ila jamaa yeye alikua anatumia tigo sasa tusaidiane jaman maana me ndo mara yangu ya kwanza kushika hii kitu.
Natanguliza shukrani,