the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,104
- 357
Nimekua nikitumia internet kupitia cable,wireless na MODEM. Siku tatu zilizo pita nimeshindwa kutumia internet kupitia cable ila wireless inafanya kazi kama kawaida. Naomba msaada anayeweza kunisaidia kutatua hili tatizo. Naomba anielekeze namna ya kufanya .
Natangulliza shukrani.
Natangulliza shukrani.