EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,194 Reaction score 25,535 Oct 7, 2015 #1 Habari Wakuu! Nahitaji msaada kwa anayejua jinsi ya kutuma ujumbe wa picha, sauti ama video kwa kutumia njia ya MMS, hii ni kwa simu ya aina yoyote ila ina uwezo wa kutumia MMS. Mwenye kufahamu anisaidie. Zangu shukrani natanguliza #Bandugu. EMMYGUY
Habari Wakuu! Nahitaji msaada kwa anayejua jinsi ya kutuma ujumbe wa picha, sauti ama video kwa kutumia njia ya MMS, hii ni kwa simu ya aina yoyote ila ina uwezo wa kutumia MMS. Mwenye kufahamu anisaidie. Zangu shukrani natanguliza #Bandugu. EMMYGUY
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,194 Reaction score 25,535 Jan 10, 2016 Thread starter #2 Mwenye ujuzi anisaidie.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,406 Jan 10, 2016 #3 Bongo sijui kama kuna huduma hiyo labda kwenye latest network za Halotel. Ila voda Na airtel hawana hiyo service
Bongo sijui kama kuna huduma hiyo labda kwenye latest network za Halotel. Ila voda Na airtel hawana hiyo service