Msaada kutuma mms

Msaada kutuma mms

Joined
Mar 15, 2011
Posts
27
Reaction score
4
Ndugu zangu naomba nisaidiwe,kila ninapotuma MMS na Audio message zina fail natumia simu NOKIA X2-01 na tumia mitandao AIRTEL/VODACOM.
 
Ukiona zinafail ujue kuna tatizo ya settings za MMS katika simu yako. jaribu kuangalia settings hizo na uhakikishe kuwa zote ziko sawa
 
andika ALL tuma kwenda 232 zitakuja setting zote hadi MMS then install
 
Back
Top Bottom