msaada kutuma maombi ya kujiunga chuo kikuu

Mkulima mimi

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
233
31
please jamani hawa tcu wamefanya maisha kuwa magumu
1} kujiunga kwa sms sawa
2) vocha ya tsh 30000 inapatikana crdb
hakuna mwongozo wowote mwingine??
crdb wanasema nenda posta au library lakini kote hamna maelezo plz mwenye maelezo ya ziada natanguliza shukrani
 
Hivyo ndivyo website ya TCU inavyoeleza, sasa kama vocha hazipo crdb ni issue ya kuwauliza.
 
Wenyewe wanadai ati wanarahisisha, uko wapi sasa huo urahisi uliokusudiwa?
 
please jamani hawa tcu wamefanya maisha kuwa magumu
1} kujiunga kwa sms sawa
2) vocha ya tsh 30000 inapatikana crdb
hakuna mwongozo wowote mwingine??
crdb wanasema nenda posta au library lakini kote hamna maelezo plz mwenye maelezo ya ziada natanguliza shukrani

contacts ziko kwenye site yao, wapigie.
 
Back
Top Bottom